Kauli ya halima mdee bungeni 2017 movies
HALIMA MDEE NA ESTER BULAYA WATOA KAULI NZITO YANGA KUIFUNGA TP Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5!
skip to main | skip to sidebar
ZIKIWA zimepita siku takriban 21, tangu Spika wa Bunge, Job Ndugai kuagiza Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kufika bungeni ndani ya saa 24 vinginevyo akamatwe na polisi kutokana na tuhuma za kumtukana, hatimaye mbunge huyo ameomba msamaha.
Aprili 4, mwaka huu wakati wa uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Mdee alidaiwa kutoa kauli ya matusi dhidi ya Spika Ndugai.
Baadaye kiongozi huyo alitoa amri ya kukamatwa kwa Mdee na kufikishwa katika Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa ajili ya kuhojiwa.
Juzi jioni, baada ya Bunge kupitisha makadirio ya matumizi ya fedha ya Wizara ya Sheria na Katiba kwa mwaka wa fedha 2017/18, Mdee alimwomba msamaha Ndugai na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk.

Hamis Kigwangalah.
Pia aliwaomba msamaha wabunge, wananchi wa Jimbo la Kawe na watanzania wote walioguswa na kauli aliyotoa dhidi ya viongozi hao wa Bunge na Serikali na kuhaidi kutorudia .
“Kwanza nakushuk